Make your inbox happier!

Subscribe to Our Newsletter

Category: Biashara

HomeBiashara

siku chache zilizopita, nimegundua ukweli fulani mgumu ambao umetikisa hisia na ufahamu wangu kuhusu ujasiriamali.Mmojawapo ni huu:Vyanzo vingi vya mapato ni njia ya KUWEZA KUDUMISHA utajiri wako, sio njia ya KUPATA utajiri. Ili kupata mafanikio makubwa, unahitaji KULENGA (FOCUS).Elon Musk ni mfano mzuri wa hili.Ngoja nieleze.Alikuwa akigonga codes (kuandika mfumo) kila usiku kwenye bidhaa/biashara MOJA …

S i jambo la kushangaza kusikia shuhuda za watu waliofanikiwa kutoka umaskini hadi utajiri kupitia biashara ya Network Marketing ambao wamebadilisha maisha yao kwa kujenga mtandao wa biashara unaowaingizia zaidi ya shilingi bilioni 1 kwa mwezi. Ndiyo, umesoma vizuri! Shuhuda kama hizo za mafanikio pia zipo katika nchi yenye uchumi wa chini kama Tanzania japo …